Floral Oriental · wanawake
Midnight Orchid
TSh 59,000
Midnight Orchid inachanganya maua ya orchid na vanila ya joto, ikitoa mvuto wa ajabu kwa matukio ya usiku. Harufu hii inadumu masaa mengi na inaacha 'trail' inayosikika hata baada ya kuondoka.
Juu
Peari, Bergamot
Moyo
Orchid, Jasmine
Msingi
Vanila, Musk, Amber