Zuriescent
Kuhusu Sisi

Zaidi ya miaka 7 ya uzoefu

Zuriescent ilianza kama biashara ndogo ya kuuza manukato ya kifahari mwaka 2019, kabla ya kuwa na website. Kwa miaka hii yote, tumejenga uhusiano na wateja wanaopenda manukato bora, halisi, na yanayodumu.

Sasa tunaleta huduma hiyo mtandaoni ili iwe rahisi zaidi kwa wateja wapya na wa zamani kuagiza popote walipo — bila kuhitaji kuja dukani.

Tumehudumia wateja kutoka mikoa mbalimbali nchini Tanzania, ikiwemo Arusha, Kilimanjaro, Dar es Salaam, Singida, Tanga, Mwanza. Kila order inashughulikiwa moja kwa moja — hakuna wakala wa tatu, hakuna bidhaa bandia.

Una swali kabla ya kuagiza? Tuandikie moja kwa moja.