Harufu inayozungumza kabla yako.
Zuriescent ni mkusanyiko wa manukato ya kifahari, yaliyochaguliwa kwa makini kwa ajili ya watu wanaojiamini. Agiza moja kwa moja kwa WhatsApp — free delivery Arusha.
Free delivery Arusha
Agiza leo, ipokee nyumbani bila gharama ya ziada.
Manukato halisi
Kila chupa imethibitishwa kabla ya kufika kwako.
Order moja kwa moja
Hakuna fomu ndefu — tuma ujumbe WhatsApp, tumalize order.
Wateja kutoka mikoa mbalimbali
“Nilinunua perfume yangu ya kwanza Zuriescent kwa recommendation ya rafiki, na honestly sikujuta. Harufu ilikuwa exactly vile nilivyokuwa natafuta—soft, classy na inavutia. Tangu siku hiyo nimekuwa nikipata compliments kila ninapoitumia.”
Aisha M. · Arusha
“Nilikuwa natafuta perfume ambayo inanifanya nijisikie confident bila kuwa na harufu kali sana. Zuriescent walinisaidia kuchagua, na nilipoivaa mara ya kwanza nilijua nimepata niliyokuwa natafuta. Hadi leo hii ni moja ya perfume ninazozipenda sana.”
Brian K. · Dar es Salaam
“Sikutarajia harufu iwe nzuri hivi! Nilipokea order yangu, nikapulizia kidogo tu, na baada ya muda bado nilikuwa naweza kuisikia vizuri. Kitu kilichonifurahisha zaidi ni compliments nilizopata siku hiyo. Definitely nitarudi tena.”
Neema R. · Mwanza
“Kuna perfume zinakuwa nzuri ukiwa dukani, lakini ukifika nyumbani story inabadilika. Kwa Zuriescent ilikuwa tofauti. Harufu ilikaa vizuri na kadri muda ulivyokwenda ndivyo nilivyoipenda zaidi. Sasa kila nikimaliza chupa najua nitafanya order nyingine.”
Kevin J. · Kilimanjaro
“Nilinunua kama gift mwanzoni, lakini baada ya kusikia harufu nilijikuta nataka moja yangu pia 😂. Ni perfume yenye vibe ya elegant na inanipa confidence kila ninapoitumia. Zuriescent wamepata customer mwingine wa kudumu.”
Fatma S. · Tanga
“Nilikuwa naogopa ku-order perfume online kwa sababu huwezi kujua harufu mpaka uijaribu. Lakini Zuriescent walinisaidia kuchagua kulingana na aina ya harufu niliyopenda. Nilipopokea order nilifurahi sana—ilikuwa exactly vibe niliyokuwa natafuta.”
Hassan A. · Dodoma
Vidokezo vya hivi karibuni
24 Septemba 2026
Kwa Nini Manukato Yako Haidumu? Sababu 5 na Suluhisho
Kama manukato yako yanaisha haraka, hizi ndizo sababu tano za kawaida na jinsi ya kuzitatua ili harufu idumu siku nzima.
Soma zaidi →18 Septemba 2026
Manukato Bora kwa Wanaume Tanzania 2026
Orodha ya manukato yanayofaa zaidi kwa wanaume mwaka 2026 — kutoka za kazini hadi za jioni, na sababu za kuchagua kila moja.
Soma zaidi →