
Citrus · unisex
Citrus Breeze
TSh 38,000
Citrus Breeze ni harufu nyepesi ya machungwa na mint, bora kwa matumizi ya kazini au mchana wa joto. Haizidishi, inatoa freshness inayoendelea kudumu bila kulemea.
Juu
Chungwa, Limau
Moyo
Mint, Basil
Msingi
Musk nyepesi, Cedar